Skip to main content

PRESHA YA KUPANDA NA KISUKARI

JITIBU PRESHA YA KUPANDA NA KISUKARI KWA KUTUMIA TIBA HII YA ASILI :

 Tiba inasaidia pia kuyeyusha
mafuta yasiyo hitajika mwilini.
Kinywaji hiki cha ajabu kitakusaidia
kushusha presha, kuyeyusha mafuta yasiyo hitajika mwilini, kupambana na kisukari na kuimarisha mfumo wa mmen’genyo wa chakula katika mwili wako.

MAHITAJI

1...Kijiko 1 kidogo cha mdalasini
2...Vijiko viwili vikubwa vya apple cider vinegar
3...Kijiko kimoja kikubwa cha asali mbichi.
4...Vijiko viwili vikubwa vya juisi ya limao.
5...Glasi moja ya maji

MATAYARISHO :
Weka vitu vyote hivyo kwenye blender na usage kwa pamoja kasha uhifadhi kwenye chombo kisafi na salama.

MATUMIZI
Kunywa dawa yako kila siku asubuhi
kabla haujatia kitu chochote tumboni.

TENGENEZA MCHANGANYIKO WAKO KILA SIKU KWA SABABU NI RAHISI KUTENGENEZA.

Matokeo ya kutumia mchanganyiko huu
yatakuwa ya kushangaza na kustaajabisha.

☎️Kwa mawasiliano zaidi tutafute SULLE NATURAL MEDICINE CLINIC kwa 0655589502, 0715589502, 0754589500 whatsapp: 0714567151

Comments

Popular posts from this blog

UMUHIMU WA KARAFUU

UMUHIMU WA KARAFUU KATIKA AFYA YAKO. Karafuu ni kiungo na dawa muhimu sana na yenye thamani kubwa amabacho kimetumika kwa karne nyingi kutibu matatizo ya kumeng'enya chakula na mfumo wa kupumua kwa binadamu. Ina wingi wa vitamini A,C,K na B-complex' na madini muhimu kama 'manganese', 'selenium, 'iron', 'potassium' na 'magnesium'. Ina nguvu nyingi katika kupambana na maambukizo vya virusi, fungasi na bacteria ambazo huzuia jeraha mbichi kuvimba na pia kupoza maumivu wakati unapata jeraha. Sifa hii hufanya karafuu kuwa muhimu katika tiba ya maradhi mengi. Karafuu husaidia mfumo wa kumeng'enya chakula, gesi sugu, kukosa choo, kuvimba tumbo, kichefuchefu na matatizo yanayoletwa na vyakula vyenye viungo vingi ili vyakula vile visidhuru mwili. Huondoa maumivu ya misuli,kuumwa na kichwa na maumivu ya neva. Pia hutumika kuua vidudu katika fizi, meno, ini, pafu, ngozi na mishipa ya kupumulia.Mafuta ya karafuu yana kichocheo cha 'eugenol' a...

MAUMIVU YA WAKATI WA HEDHI

MAUMIVU WAKATI WA HEDHII Wapo baadhi ya akina mama wao hupatwa na maumivu makali mno,wanapokuwa katika ada zao za kutokwa na damu ya hedhi kama na wewe ni mmojawapo nakushauri tumia dawa hii kisha ulete maendeleo yako .............................................. Chukua NANAA kiasi cha robo kg ichemshe kwa maji lita2 na nusu hakikisha inachemka hadi maji hayo yabaki lita2 tuu Anywe mdada huyu anayepatwa na maumivu ya hedhi kikombe kimoja cha chai kutwa mara 2 ni vizuri zaidi akitumia kipndi ambacho anaona dalili ya kuingia hedhini MAUMIVU YATAKUACHA. ☎️ Kwa mawasiliano zaidi na maelekezo zaidi tupigie SULLE NATURAL MEDICINE CLINIC 0655589502, 0715589502, 0754589500 WHATSAPP 0714567151 Nyote mnakaribishwa.

MAUMIVU YA KICHWA

MAUMIVU YA KICHWA Maumivu ya kichwa hutokea watu wengi sana wa umri wote. Ni dalili inayopelekea watu wengi kwenda hospitali kwa ajili ya matibabu. Kuna sababu nyingi zinazosababisha maumivu ya kichwa. Nyingi zikiwa zisizohatarisha maisha ya mtu, na baadhi zikiwa hatari kwa uhai wa mtu. Maumivu ya kichwa yanaweza kuwa ya kuanza mara moja ghafla (acute headache) au maumivu ya muda mrefu yanayokuja na kuacha (chronic headache). Dalili ambazo zinaweza kuambatana na maumivu ya kichwa ni homa, kutapika, kizunguzungu, moyo kwenda mbio, kupoteza fahamu, kutoona vizuri, kupata degedege na nyingine. Kwa kawaida unapopata maumivu ya kichwa onana na daktari wako kwa matibabu. Ikiwa maumivu ya kichwa yanaambatana na dalili zifuatazo basi wahi haraka sana hospitali iliyo karibu na wewe. Kuona vitu viwili viwili au giza, kupata degedege (convulsions), kupoteza fahamu, kutapika sana na moyo kwenda mbio. SABABU ZA MAUMIVU YA KICHWA • Malaria • Ajali ya kichwa • Matatizo ya macho • Damu kuvuja kwenye u...