MAUMIVU WAKATI WA HEDHII
Wapo baadhi ya akina mama wao hupatwa na maumivu makali mno,wanapokuwa katika ada zao za kutokwa na damu ya hedhi kama na wewe ni mmojawapo nakushauri tumia dawa hii kisha ulete maendeleo yako
..............................................
Chukua NANAA kiasi cha robo kg
ichemshe kwa maji lita2 na nusu
hakikisha inachemka hadi maji hayo yabaki lita2 tuu
Anywe mdada huyu anayepatwa na maumivu ya hedhi kikombe kimoja cha chai kutwa mara 2
ni vizuri zaidi akitumia kipndi ambacho anaona dalili ya kuingia hedhini
MAUMIVU YATAKUACHA.
☎️ Kwa mawasiliano zaidi na maelekezo zaidi tupigie SULLE NATURAL MEDICINE CLINIC 0655589502, 0715589502, 0754589500 WHATSAPP 0714567151
Nyote mnakaribishwa.
Comments
Post a Comment