JITIBU PRESHA YA KUPANDA NA KISUKARI KWA KUTUMIA TIBA HII YA ASILI : Tiba inasaidia pia kuyeyusha mafuta yasiyo hitajika mwilini. Kinywaji hiki cha ajabu kitakusaidia kushusha presha, kuyeyusha mafuta yasiyo hitajika mwilini, kupambana na kisukari na kuimarisha mfumo wa mmen’genyo wa chakula katika mwili wako. MAHITAJI 1...Kijiko 1 kidogo cha mdalasini 2...Vijiko viwili vikubwa vya apple cider vinegar 3...Kijiko kimoja kikubwa cha asali mbichi. 4...Vijiko viwili vikubwa vya juisi ya limao. 5...Glasi moja ya maji MATAYARISHO : Weka vitu vyote hivyo kwenye blender na usage kwa pamoja kasha uhifadhi kwenye chombo kisafi na salama. MATUMIZI Kunywa dawa yako kila siku asubuhi kabla haujatia kitu chochote tumboni. TENGENEZA MCHANGANYIKO WAKO KILA SIKU KWA SABABU NI RAHISI KUTENGENEZA. Matokeo ya kutumia mchanganyiko huu yatakuwa ya kushangaza na kustaajabisha. ☎️Kwa mawasiliano zaidi tutafute SULLE NATURAL MEDICINE CLINIC kwa 0655589502, 0715589502, 0754589500 whatsapp: 0...
MAUMIVU WAKATI WA HEDHII Wapo baadhi ya akina mama wao hupatwa na maumivu makali mno,wanapokuwa katika ada zao za kutokwa na damu ya hedhi kama na wewe ni mmojawapo nakushauri tumia dawa hii kisha ulete maendeleo yako .............................................. Chukua NANAA kiasi cha robo kg ichemshe kwa maji lita2 na nusu hakikisha inachemka hadi maji hayo yabaki lita2 tuu Anywe mdada huyu anayepatwa na maumivu ya hedhi kikombe kimoja cha chai kutwa mara 2 ni vizuri zaidi akitumia kipndi ambacho anaona dalili ya kuingia hedhini MAUMIVU YATAKUACHA. ☎️ Kwa mawasiliano zaidi na maelekezo zaidi tupigie SULLE NATURAL MEDICINE CLINIC 0655589502, 0715589502, 0754589500 WHATSAPP 0714567151 Nyote mnakaribishwa.